Month: February 2011

CHADEMA yatikisa jiji la Mwanza

Katika kuonesha nguvu yake huko kanda ya ziwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimefanya maandamano makubwa na ya kihistoria jijini Mwanza hapo jana ambayo yalihudhuriwa na maelfu ya wanachama, mashabiki…