Uuzaji, umiliki wa silaha Rwanda usiwe sababu ya kuvuruga amani Afrika
Hivi karibuni Rwanda imebadili Sheria yake ya mwaka 2009 iliyokuwa inakataza umiliki na uuzwaji wa silaha za moto. Sheria mpya ya silaha za moto nchini humo inaruhusu wananchi kumiliki silaha…