Tanzania yapata somo utoaji wa chakula shuleni
Wakati mjadala ukiendelea kuhusu serikali ya Zanzibar kuagiza walimu 300 kutoka Nigeria kwaajili ya kufundisha masomo ya sayansi, nchi hiyo imeendelea kutoa somo la uboreshaji elimu kwa Tanzania baada ya…