WAJIBIKA: Sekta ya manunuzi kinara wa rushwa serikalini, sekta binafsi nchini

Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG)aliyestaafu, Ludovic Utouh amesema  mapambano ya rushwa nchini yanakwamishwa na biashara baina ya serikali na sekta binafsi hasa kwenye manunuzi ya huduma na…

Jamii Africa

Utamaduni wa Mtanzania: Kielelezo kilichobaki kuelekea uchumi wa viwanda

Tafsiri sahihi ya maendeleo inabaki kuwa gumzo katika jamii zetu. Wengi wetu hudhani tafsiri sahihi ya maendeleo ni vitu (material things) na wengine hudhani kuwa maendeleo ni hali ya uwepo…

Jamii Africa

Mambo 5 ambayo mtu hawezi kukwepa muda mfupi kabla ya kufa

Una majuto yoyote? Naamini watu wengi wana majuto (regrets) kwasababu wamefanya baadhi ya maamuzi yenye matokeo hasi au hawakufanikiwa kupata yale waliyoyatarajia yangetokea katika maisha yao.  Lakini majuto yetu yanapata…

Jamii Africa

BENKI YA DUNIA: Tanzania iko chini ya wastani wa urahisi wa kiuchumi wa kuanzisha biashara

Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) imesema urahisi wa kuanzisha biashara nchini Tanzania uko chini ya wastani unaotakiwa na nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, sababu  inayokwamisha…

Jamii Africa

Katika “Uchochezi” Sheria iko wazi. Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inafanya nini?

Mapema Januari 2018 vituo vitano vya runinga vilipigwa faini ya jumla ya shilingi milioni 60 baada ya Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusema kwamba walitangaza…

Jamii Africa

Waendesha bodaboda wanachangia asilimia 13 ya mimba za utotoni nchini

Kuna uhusiano gani kati ya bodaboda na ongezeko la mimba za utotoni kwa wasichana wanaosafiri umbali mrefu kwenda shule? Gazeti la The Guardian la Tanzania, linawaweka waendesha bodaboda kama kiini cha…

Jamii Africa

Mwigulu Nchemba azuia hati za kusafiria za watanzania wanaoenda utumwani nje ya nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba  amesimamisha utoaji wa hati za kusafiria za makundi ya vijana wanaosafiri kwenda nje ya nchi kwa kuwa wananyanyaswa na kutumikishwa kwenye kazi hatarishi…

Jamii Africa

Kakao ilivyoboresha maisha ya wakulima Kilombero, Kyela; wajasiriamali wahimizwa kuchangamkia fursa ya soko

Kila mtu anapenda chokoleti (chocolate). Labda sio kila mtu lakini watu wengi wanapenda. Zao la kakao ambalo hutokana na mti wa Theobroma ndio hutumika kutengenezea chokoleti ambapo hutafsiriwa kama ‘chakula…

Jamii Africa

ACACIA : Makinikia yasababisha  uzalishaji wa dhahabu kushuka kwa 30%

Kampuni ya madini ya Acacia Mining imetoa ripoti ya uzalishaji dhahabu kwa robo ya mwisho ya mwaka 2017 ikionyesha kushuka kwa uzalishaji wa dhahabu hadi kufikia asilimia 30 ikilinganishwa na…

Jamii Africa