Hoja za kitaifa zitawaunganisha au kuwatenganisha wabunge 2018?

Kabla ya kuingia katika mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Tanzania ilikuwa na mfumo wa Bunge la chama kimoja yaani wabunge wote walitoka chama tawala. Majadiliano ya wabunge yaliwapa fursa…

Jamii Africa

Wasomi, viongozi wa dini watoa maoni uvaaji vimini, nguo za kubana kwa wanawake

Serikali yashauriwa kutoa tafsiri sahihi ya 'Maadili ya Mtanzania' Wengine wasema wanawake waachwe huru wasipangiwe mavazi ya kuvaa Mjadala wa mavazi yanayovaliwa na wanawake umeendelea kushika kasi nchini ambapo watu…

Jamii Africa

FREEDOM HOUSE: Tanzania ina uhuru kiasi, kufungiwa vyombo vya habari, kuzuia mikutano ya kisiasa kuididimiza kwenye nchi zisizo na uhuru kabisa

Ripoti mpya iliyotolewa na taasisi huru ya Freedom House imesema misingi ya demokrasia ikiwemo uhuru wa vyombo vya habari na haki ya kukusanyika imeendelea kudhoofika nchini Tanzania na hali hiyo…

Jamii Africa

USAID, Internews wazindua mradi wa ‘Boresha Habari’ kuimarisha uhuru wa kujieleza na kuhabarishwa

Shirika la Misaada la Marekani (USAID) kwa kushirikiana na Asasi za Kirai Tanzania wamezindua mradi wa Boresha Habari unaolenga kuwahusisha na kuwawezesha wanawake na vijana kupaza sauti zao kupitia vyombo…

Jamii Africa

Usafiri wa anga kukua kwa asilimia 10, Tanzania yashauriwa kuingia kwenye soko la pamoja la Afrika

Tanzania imeshauriwa kuboresha huduma za usafiri wa anga kwa kulegeza masharti ya upatikanaji wa vibali vya kuingia nchini ili kutanua wigo wa ukuaji wa sekta ya utalii na biashara kwa…

Jamii Africa

Kuwashusha walimu vyeo ni njia sahihi ya kutatua changamoto za elimu?

Mwishoni mwa mwaka 2017 wanafunzi wa darasa la nne na la saba walifanya mitihani ya kitaifa ili kupima ujuzi na maarifa waliyoyapata katika kipindi cha kusoma kwao ambapo waliofaulu waliendelea…

Jamii Africa

Lowassa aeleza tena alichozungumza na rais Magufuli

Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa atoboa siri ya kufanya mazungumzo na rais John Magufuli kwamba ilikuwa ni kumshawishi kurejea kwenye Chama Cha Mapinduzi. Kauli ya Lowossa inakuja siku…

Jamii Africa

Benki ya Dunia yaishauri Tanzania kutathmini ongezeko deni la taifa kuelekea uchumi wa kati

Benki ya Dunia (WB) imesema Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi duniani ambazo uchumi wake unakua kwa haraka lakini inapaswa kudhibiti ongezeko la deni la taifa ili kukuza  pato la…

Jamii Africa

Kichaa cha mbwa chaua watu 60,000, serikali yaendesha kampeni kuwanusuru wananchi

Shirika la Afya Duniani (WHO) linaeleza kuwa kila mwaka watu 60,000 hufariki kutokana na ugonjwa wa kichaa cha mbwa, ambapo milioni 15 hupata matibabu ya ugonjwa huo na kuuweka miongoni…

Jamii Africa