Sakata la Askofu Kakobe kuwataka watawala kutubu lachukua sura mpya, TRA kumchunguza utajiri wake

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inakusudia kuchunguza utajiri na ulipaji wa kodi wa Askofu Mkuu, Zachary Kakobe wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (F.G.B.F) ili kuihakikishia serikali mapato. Hatua…

Jamii Africa

Tathmini ya mwaka: Tanzania inatekeleza ipasavyo haki ya kuishi?

Kuishi ni haki ya msingi ambayo binadamu anatakiwa kuwa nayo ili apate stahili nyingine akiwa hai, lakini mifumo ya uongozi katika nchi mbalimbali imekuwa kikwazo kutekeleza haki hiyo na matokeo…

Jamii Africa

Utafiti: Ulaji wa samaki  kuongeza uwezo wa kufikiri, kutibu matatizo ya kukosa usingizi

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania unaeleza kuwa  watoto wanaokula samaki mara moja kwa wiki wanapata usingizi wa uhakika na uwezo wao kufikiri, kuelewa na kujifunza huongezeka mara nne…

Jamii Africa

Tanzania kuwa kitovu cha uzalishaji wa Tanzanite, serikali yashauriwa kuwawezesha wachimbaji wazawa

Imeelezwa kuwa ili Tanzania iwe kitovu cha uzalishaji wa vito vya madini ya Tanzanite, serikali na wadau wa madini nchini washirikiane na kutumia sheria kutatua migogoro baina yao na wachimbaji…

Jamii Africa

Sekta isiyo rasmi inachangia asilimia 41 ya Pato la ndani la Afrika, teknolojia mpya kuididimiza

Licha ya pato la ndani la bara la Africa kwa sehemu kubwa  kuchangiwa na uchumi usio rasmi, serikali na mashirika ya kimataifa yakiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Kimataifa…

Jamii Africa

Mazingira: Mirija ya plastiki changamoto nyingine uhifadhi wa vyanzo vya maji

Na Daniel Samson Licha ya juhudi mbalimbali za serikali na wadau wa uhifadhi wa mazingira kuzuia matumizi ya mifuko ya plastiki, imeibuka aina nyingine ya plastiki ambayo isipodhibitiwa itahatarisha zaidi…

Jamii Africa

Mtaala wa elimu unavyoakisi ufaulu wa wanafunzi katika shule za msingi Tanzania

Elimu ni mfumo wa maarifa unaomwezesha mwanafunzi kupata ujuzi na stadi ambazo zitamsaidia kumudu mazingira yanayomzunguka. Lakini elimu huwa katika mfumo maalumu ambao unajulikana kama mtaala ulio na mpangilio wa…

Jamii Africa

Maaskofu wahimiza watawala kulinda misingi ya demokrasia nchini

Viongozi waandamizi wa serikali wametakiwa kudumisha na kulinda amani  ya nchi kwa kuruhusu uhuru wa kutoa maoni na kuhimiza uvumilivu wa kisiasa miongoni mwa jamii. Wito huo umetolewa kwa nyakati…

Jamii Africa

Ukosefu wa elimu ya matunzo wachochea kansa ya ngozi kwa ‘Albino’

“Nina ndoto kwamba siku moja nchini Tanzania, watu wenye albinism watachukua nafasi yao inayostahili katika ngazi za jamii. Na kwamba siku  za ubaguzi dhidi ya watu wenye ‘albinism’  zitakuwa kumbukumbu…

Jamii Africa