Maambukizi  ya Ukimwi yanavyoshamirisha yatima shule za msingi Iringa, Mbeya

Mikoa ya Iringa, Mbeya na Njombe imetajwa kuongoza kwa idadi kubwa ya wanafunzi yatima wanaondikishwa katika shule za mingi, jambo linaloweza kuongeza gharama za matunzo kwa watoto hao. Kulingana na…

Jamii Africa

Maxence awataka vijana kuchangamkia fursa za mtandao ya kijamii

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema licha ya kuwepo kwa sheria zinazoonekana kuminya uhuru wa mitandao ya kijamii, bado vijana wana nafasi kubwa ya kufaidika na fursa mbalimbali zilizopo…

Jamii Africa

Kadi alama ya lishe  kutokomeza utapiamlo, udumavu kwa watoto chini ya miaka 5

Serikali imeanza kutumia kadi alama ya lishe ili kuongeza uwajibikaji kwa watoa huduma itakayosaidia kupunguza tatizo la utapiamlo na udumavu kwa watoto nchini. Muhtasari wa hali ya utapiamlo Tanzania ya…

Jamii Africa

Mitandao ya Kijamii inavyowanyima usingizi viongozi Afrika Mashariki

Licha matumizi ya intaneti kuongezeka katika ukanda wa Afrika Mashariki, watumiaji wa mitandao ya kijamii hawatafaidika na huduma hiyo kutokana vikwazo vya kisheria vilivyowekwa na serikali za nchi zao. Ripoti…

Jamii Africa

Wakulima wa mahindi kuunganishwa kwenye mnyororo wa thamani

Imeelezwa kuwa kukosekana kwa  teknolojia ya kisasa na masoko ya mazao  ni miongoni mwa changamoto zinazokwamisha  ukuaji wa sekta  ya kilimo nchini. Changamoto hizo zinachochewa na  uwekezaji mdogo wa rasilimali…

Jamii Africa

RIPOTI YA CAG: Rais Magufuli asisitiza trilioni 1.5 hazijapotea, aitupia lawama mitandao ya kijamii

Rais John Magufuli amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) aliyokabidhiwa haionyeshi upotevu wa trilioni 1.5 na kwamba ni upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kwenye mitandao…

Jamii Africa

Kwanini kukaa muda mrefu kunasababisha kuganda kwa damu kuliko ukiwa umelala?

Unaweza kuwa umegundua kuwa ukikaa sehemu moja bila kubadilisha mkao hata kwa saa moja, miguu yako itaanza kupatwa na hali isiyo ya kawaida. Wengine wanaweza kuhisi mshtuko fulani wa kutekenywa,…

Jamii Africa

Bajeti ya afya 2018/2019 bado tegemezi, yafyekwa kwa asilimia 20

Imeelezwa kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa watanzania kukosa huduma bora za afya kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kutokana na kupunguzwa kwa bajeti ya  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…

Jamii Africa

Kwanini hakuna Saratani au kansa ya Moyo?

Kugundua kwamba una saratani au ndugu yako ana saratani huwa ni kipindi kigumu sana maishani. Saratani imekuwa janga kubwa sana duniani na hujitokeza katika namna tofauti. Saratani husababisha vifo vya…

Jamii Africa