Serikali kukodisha tena mitambo ya kuzalisha umeme

Islam Mbaraka

WAKATI bado joto likizidi kupanda kuhusiana na sakata la mitambo ya kukodi kwa ajili ya umeme wa dharura kutoka kampuni ya Richmond Development LLC iliyorithiwa na Dowans, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, ameliambia Bunge kwamba, serikali imo katika mchakato wa kukodisha mitambo ya kusalisha umeme.

Wakati hayo yakiendelea, habari kutoka Dodoma zinaeleza kwamba mkakati mzito sasa unaendelea kwa kasi kubwa kutaka kukodishwa ama kuchukuliwa kwa mitambo ya Dowans kwa maelezo kwamba itumike kuzalisha umeme kutatua tatizo lililopo sasa.

2 Comments
  • Bwana Ngeleja kuna tetesi ya kwamba Tanzania atujafikia atua ya kuwa na mgao kiasi hiki bali ni mpago wa MAFISADI kuijumu TANESCO ili ionekane DOWANS wanaumuimu NCHINI na ifikie atua turegeze kamba walipwe. na vilevile ya kwamba malipo ya DOWANS ni malipo alali ya CMM kwa wafanyabiashara walizowakopa CCM kwenye uchaguzi ni za kweli ….?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *