Askofu Kakobe: Sina mradi wa kiuchumi, nina utajiri wa rohoni
Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe ameijibu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inayochunguza utajiri alionao na mwenendo wa ulipaji kodi, kuwa hamiliki miradi ya kiuchumi…