Watumishi wa afya 200 kupatiwa mafunzo ya utoaji dawa ya usingizi kuokoa maisha wajawazito
Kufuatia upungufu wa wataalamu wa dawa za usingizi (anaesthesia), serikali itatoa mafunzo ya dawa za usingizi kwa watumishi wa afya 200 katika vituo vya afya vya upasuaji wa dharura kwa…
Sakata la waraka wa Maaskofu KKKT lang’oka na Msajili Mambo ya Ndani
Waziri wa Mambo ya Ndani Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Sheria na Usajili wa Jumuiya za Kidini na Vyama vya Kijamii, Merlin Komba ili…
Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutangazi nyongeza ya mshahara hadharani kuepusha athari kwa jamii
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameweka wazi kuwa serikali haitatangaza nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma hadharani ili kuepusha athari kwa jamii ikiwemo kupanda kwa bei ya bidhaa. Akizungumza leo…
Ukosefu wa taarifa sahihi za viwango na aina ya samaki wakwamisha ujenzi wa viwanda nchini
Tanzania itaanza kufaidika na rasilimali za bahari baada ya kuanza kutekeleza Programu ya Udhibiti na Matumizi Endelevu wa Rasilimali Samaki (EAF-Nansen) kudhibiti mabadiliko ya tabia na uchafuzi wa mazingira yanavyoathiri…
Maaskofu KKKT wapewa siku 10 kufuta waraka
Serikali imetoa siku 10 kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kuufuta kwa maandishi waraka wao waliotuoa Machi 24 mwaka huu na kisha kuujulisha Umma kwa njia mbalimbali walizotumia…
Hujavuka miaka 30? Unashauriwa kusafiri sana na kuhifadhi fedha kadiri uwezavyo!
Kufikisha miaka 30 maishani yaweza kuwa kipindi cha mabadiliko makubwa kwenye maisha ya mtu na taaluma yake. Ni kipindi ambacho malengo ya wengi kitaaluma huanza kuwa wazi na shauku ya…
Siri iliyofichika mauaji ya wanandoa nchini
Hivi karibuni tumeshuhudia matukio kadhaa ya vifo kwa wanandoa, aidha mume kumuua mke wake au mke kumuua mume wake. Ni matukio ya kusikitisha ambayo yameripotiwa sehemu mbalimbali Tanzania ikiwemo Mkuranga,…
Hamasa ya wazazi kufuatilia maendeleo ya watoto shuleni yaongezeka
Elimu bora ina faida kubwa kwa maisha ya kila siku ya wananchi na pia huchangia ukuaji wa uchumi. Kwa kutambua hilo, Serikali nyingi katika nchi zinazoendelea na zile zenye uchumi…
Ushuru wa bidhaa: Kero ya Muungano iliyokosa ufumbuzi wa kudumu
Serikali ya Tanzania Bara na ile ya Zanzibar kukutana kujadili kuhusu namna bora ya kupata ufumbuzi wa kudumu wa kero ya ulipaji kodi ya mizigo kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara.…