Jumuiya za Kimataifa zachochea shinikizo la Kumuondoa Kabila madarakani
Botswana imemuomba Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC),Joseph Kabila kuachia madaraka haraka ili kuepusha kumwaga damu ya wananchi wasio na hatia. Serikali ya Botswana imeongeza shinikizo la kumtaka Rais…