Hizi ndizo changamoto za Sekta ya Afya nchini Tanzania tangu Uhuru!
AFYA bora ni rasilimali muhimu na kubwa kwa maendeleo ya kiuchumi na ya kijamii. Serikali huwa na lengo la kuinua hali ya afya kwa wananchi wote mahali popote walipo ikiwa…
Content that Counts!
AFYA bora ni rasilimali muhimu na kubwa kwa maendeleo ya kiuchumi na ya kijamii. Serikali huwa na lengo la kuinua hali ya afya kwa wananchi wote mahali popote walipo ikiwa…
Si rahisi kwa binadamu yeyote kukubali ushauri wa daktari pale anapogundulika amepatwa na ugonjwa wa shinikizo la damu. Na, mazoea yanaonyesha kuwa inakuwa ngumu zaidi pale daktari anapo mshauri mgonjwa…
UMEZOEA kulala na nguo nyepesi za kulalia? Au unahisi vizuri zaidi ukilala na nguo nzito laini za kulalia? Watu wengi hujifunika mashuka na wengine hujifunika mablenketi kabisa. Katika makala haya,…
Tamaa ya kutaka kufanikiwa maishani imeenea duniani kote. Hali imebadilika sana, jinsia ya kike inataka kujitosheleza kwa kila kitu. Lakini mabadiliko ya kibaiolojia yanabaki vile vile mfano kuzeeka nk. Mafanikio…