Lufusi: Mazingira kwanza, mambo mengine baadaye
KIJIJI cha Lufusi, kilichopo katika wilaya Mpwapwa, kimesema hekta 34 za miti ziliharibiwa mwaka jana, ambapo watuhumiwa 17 walikamatwa na kuchukuliwa hatua mbalimbali, ikiwemo kutozwa faini ya jumla ya sh.…
Ukosefu wa Mikataba ya ajira kwa Wachimbaji Wafanyakazi Mererani na changamoto zake
Wafanyakazi wachimbaji wa migodini Mererani (wanaapolo) wanakabiliwa na matatizo mbalimbali likiwemo la ukosefu wa mikataba ya ajira kutoka kwa waajiri wao.
Mashine za kuvuta maji ‘zinazochimba dhahabu’
NIMEAMKA mapema na kufika katika kijiji cha Kibangile, kilichoko wilayani Morogoro. Umbali kutoka kijiji cha Mtamba, nilipolala, hadi Kibangile kwa pikipiki ni dakika zisizodi saba na daladala hutumia kama dakika…
Ruvuma: Nusu ya wanafunzi hawajaripoti sekondari
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida karibu nusu tu ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mkoani Ruvuma mwaka huu hawajaripoti katika shule za sekondari ambazo zimefikia 179.
Pinda ‘aelemewa’ mgogoro wa nani achinje nyama
SAKATA la nani achinje nyama kati ya Waislamu na Wakristo bado linaonekana kuwa bichi, ambapo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja nyama…
Watakiwa kuchangia damu kuokoa maisha ya wanawake
WANANCHI wa mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Iringa, Njombe na Ruvuma wametakiwa kujitokeza kujitolea damu ili kuokoa maisha ya wajawazito na watoto chini ya miaka mitano.
Fedha za shule hii zilitumiwa wapi?
BADALA ya kupewa sh. 2,110,000 kwa kipindi cha miezi sita, shule ya msingi Sambaru, iliyoko katika wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida, ilipatiwa sh. 350,000 na serikali zikiwa ni malipo…
Serikali kutatua Tatizo la Wachimbaji wadogo?
WIZARA ya Nishati na Madini imetangaza kutatua tatizo la wachimbaji wadogo kukosa maeneo maalum ya uchimbaji na kwamba tatizo hilo linatarajiwa kupungua kama sio kumalizika mwaka 2015.
Mto Wami/Ruvu: Haya pia ni matumizi yake
KABLA sijafika tarafa ya Matombo, iliyopo mkoani Morogoro, nilikuwa na mawazo tofauti kuhusu mto Wami/Ruvu ambao baadhi ya vyanzo vyake viko sehemu hiyo.