Sakata la kutelekeza watoto Dar lachukua sura mpya. Viongozi wa dini, wabunge watajwa

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kuunga mkono kampeni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwasaidia wanawake wenye watoto ‘waliotelekezwa’ na waume zao.…

Jamii Africa

Jinsi ya kuondoa kutu kwenye vyuma

Kutu ni moja ya tishio linalosababisha vifaa na mashine zenye asili ya chuma kushindwa kufanya kazi yake na hata kufa kabisa. Kama ilivyo kwa magonjwa ya kuambukiza, kutu husambaa kidogo…

Jamii Africa

MMEM: Wanafunzi wanawajibika kushiriki katika utawala wa shule

Kuna mtazamo wa baadhi ya watu kuwa mtoto yeyote ambaye anasoma hajakomaa kiakili kiasi cha kuweza kuhusishwa kufanya maamuzi muhimu katika shughuli za familia na jamii. Dhana hiyo inajikita zaidi…

Jamii Africa

Kanuni mpya za Madini kushusha uzalishaji wa dhahabu hadi 0% ifikapo 2027

Kuanza kutumika kwa sheria Mpya za madini, kanuni na ukaguzi wa kampuni za madini kunatajwa kupunguza uzalishaji wa madini ya dhahabu na uwekezaji nchini. Kwa mujibu wa shirika la utafiti…

Jamii Africa

Fahamu njia 5 za kukusaidia kukumbuka kila kitu ulichosoma

Kwa mujibu wa Jhumpa Lahiri katika kitabu chake cha The Namesake anasema, “ Kusoma kitabu ni kitendo cha kusafiri bila kusogea kutoka pale ulipo”. Naye David Bowie msanii ajulikanaye kama…

Jamii Africa

Ni wakati sahihi kwa Tanzania kutumia roboti kwenye matibabu ya binadamu?

Licha ya kuimarika kwa huduma za afya nchini China bado wagonjwa wanaoenda kutibiwa katika hospitali nyingi wanalazimika kukaa kwenye foleni kwa dakika kadhaa kabla ya kumuona daktari na kupata matibabu.…

Jamii Africa

SHEIKH ABEID AMANI KARUME: Mwanapinduzi aliyeibukia kwenye ubaharia

April 7 ya kila mwaka ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ambaye alizaliwa mwaka 1905 na kufariki 7 Aprili 1972. Hayati…

Jamii Africa

Kwanini kuna mawe madogo madogo kwenye reli?

Kusafiri ndani ya treni (garimoshi) kuna  upekee wake. Unashuhudia mandhari nzuri ya uoto wa asili, uwanda mpana wa ardhi usio na mwisho, miji mbalimbali yenye kila aina ya watu. Kitu…

Jamii Africa

Serikali kutoa chanjo kuwakinga wasichana dhidi ya saratani ya kizazi

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa kila mwaka Tanzania inakadiriwa kuwa na wagonjwa wapya wa Saratani 50,000 huku Saratani ya mlango wa…

Jamii Africa