Ubora: Fukwe za ziwa Nyasa zinaongoza
Pichani ni fukwe za kuvutia ambazo zinapatikana katika eneo la Lundo ziwa Nyasa wilayani mpya ya ziwa Nyasa mkoani Ruvuma. Ziwa Nyasa limebarikiwa kuwa na fukwe bora ulimwenguni, lakini katika…
Makumbusho ya Taifa la Msumbiji
Pichani (chini) ni ndani ya makumbusho ya Taifa ya Msumbiji ambayo yapo katika eneo la Congresso mkoa wa Niassa. Eneo hili ni muhimu katika ukombozi wa nchi ya Msumbiji kwa…
Hapa ni Ikulu ya Rais wa Msumbiji
Hapa ni mahali ambapo ni muhimu katika historia ya nchi ya Msumbiji.Eneo hili linaitwa Congresso lililopo katika mkoa wa Niassa ,ambako ulifanyika mkutano wa pili wa harakati za ukombozi nchini…
Mkenda: Daraja lenye maajabu
Pichani ni daraja maarufu ambalo limejengwa katika mto Ruvuma ambao unatenganisha nchi ya Tanzania na Msumbiji. Daraja hili lililojengwa katika kijiji cha Mkenda wilayani Songea mkoani Ruvuma ni kivutio pia…
Lowassa kutetewa ndani ya CCM?
Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na dalili zinazoonesha kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Bw. Edward Lowassa anaandaliwa utetezi wa kina ndani ya CCM ili kuweza kumuokoa na mashinikizo ya…
Saudi women with “attractive eyes” will be required to cover them!
Women with attractive eyes may be forced to cover them up under Saudi Arabia's latest repressive measure, it was reported yesterday. The ultra-conservative Islamic state has said it has the…
Jairo, Luhango na Ngeleja wabanikwa Bungeni!
Kamati Teule ya Bunge iliyoundwa kuchunguza sakata la malipo ya mamilioni ya shilingi kwa watendaji wa Wizara ya Nishati ili kusaidia bajeti ya wizara hiyo ipite katikati ya mwaka huu…
Makumbusho ya Tanzania hayana uasili
Hili ni gogo la kihistoria ya nchi ya Msumbiji ambalo lilikuwa likitumika kwa viongozi wa nchi hiyo Eduardo Mondrane Aliyekuwa Rais wa chama cha Frelimo na mkuu wa majeshi wa…
Chanzo cha maji chenye madini ya chuma
Maji ya chanzo cha Lipasi yanayodaiwa kuwa na madini ya chuma, kama yanavyoonekana yanarangi ya kutu, chanzo cha Lipasi kipo katika milima ya Matogoro Songea manispaa ni miongoni mwa vyazno…