Waziri Jaffo abariki hospitali za mikoa kuondolewa mikononi mwa TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleman Jaffo amesema ongezeko la bajeti ya afya ndio sababu kuu ya usimamizi wa hospitali za…

Jamii Africa

Rais John Magufuli: Sifahamu wizara ya madini ina ugonjwa gani

Licha ya serikali kuitenganisha wizara ya Nishati na Madini ili kuongeza ufanisi, inaelezwa kuwa wizara ya madini bado inakabiliwa na changamoto nyingi zinazokwamisha upatikanaji wa mapato na kuwatumikia wananchi. Akizungumza…

Jamii Africa

LHRC kuungana na MCT kutafuta tafsiri ya ‘Uchochezi’ mahakamani

Siku moja baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuvipiga faini vituo vya runinga vya Star TV, Azam, Channel  Ten, EATV na ITV kwa kukiuka maadili ya uandishi na  kutangaza…

Jamii Africa

Uhaba wa miundombinu ya majitaka unavyochangia magonjwa ya mlipuko Dar

Licha ya idadi ya wateja waliounganishwa kwenye mitandao ya majitaka katika miji mikuu kuongezeka, ni asilimia 20 tu ya wananchi katika miji hiyo wanafikiwa na huduma hiyo nchini na kuwaweka katika…

Jamii Africa

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume yachochea wizi wa punda ukanda wa Afrika Mashariki   

Licha ya Tanzania kupiga marufuku uchinjaji wa nyama ya punda, inaelezwa kuwa biashara ya uuzaji wa punda inaendelea kwa njia zisizo halali kutokana na uhitaji mkubwa wa mnyama huyo katika…

Jamii Africa

Wanafunzi wa kike kukatisha masomo nani anafaidika?

“Ukimkomboa mwanamke umeikomboa jamii yote” ni usemi ambao umezoeleka hasa kwa wanaharakati wa kutetea haki za wanawake na watoto ambao huamini kuwa mwanamke ana nafasi kubwa katika maendeleo ya jamii…

Jamii Africa

Misaada ya Maendeleo Afrika inaingia kwenye mifuko ya matajiri, maskini waendelea kutaabika

Maendeleo ya nchi za Afrika kwa sehemu kubwa yanategemea misaada kutoka nchi zilizoendelea, lakini suala hilo limeibua mijadala juu ya ufanisi wake katika kukuza uchumi na kupunguza umaskini wan chi…

Jamii Africa

Watoto wachanga 5,995 kuzaliwa mwaka mpya nchini Tanzania, asilimia 37.3 hufariki kabla ya kutimiza mwezi mmoja

Inakadiliwa kuwa watoto wachanga 5,995 wamezaliwa katika siku ya mwaka mpya wa 2018 nchini Tanzania lakini asilimia 60 ya watoto hao hufariki kabla ya kutimiza mwaka mmoja wa kwao. Kulingana na taarifa…

Jamii Africa

Askofu Kakobe: Sina mradi wa kiuchumi, nina utajiri wa rohoni

Askofu Mkuu  wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe ameijibu Mamlaka ya Mapato  Tanzania (TRA) inayochunguza utajiri alionao na mwenendo wa ulipaji kodi, kuwa hamiliki miradi ya kiuchumi…

Jamii Africa