Wananchi waikwepa kamati ya shule, maamuzi na mipango ya elimu yatekelezwa na wachache
Inaelezwa kuwa kiwango cha ushiriki wa wananchi katika shughuli za jamii hasa za kiutawala nchini Tanzania kiko chini na bado kinashuka, jambo ambalo linaathiri utolewaji wa maamuzi yanayohusu maendeleo ya…
Ushahidi wa mazingira wampeleka Lulu jela miaka 2, Wakili wake kukata rufaa kumnusuru
Baada ya Mahakama kumkuta Msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ na hatia ya kuua bila kukusudia na kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, Wakili wa Msanii huyo, Peter Kibatala amesema wanakusudia kukata…
Watoto wachanga milioni 77 hawapati maziwa ya mama muda mfupi baada ya kuzaliwa, huchangia asilimia 80 ya vifo vyao
Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) limesema watoto milioni 77 ambao ni sawa na mtoto 1 kati ya 2 wanaozaliwa hawapati maziwa ya mama muda mfupi baada ya kuzaliwa ambapo wanakosa…
Chakula: Kichocheo cha kuimarisha mahusiano mazuri ya familia
Familia bora ni ile ambayo inayoishi kwa upendo na amani, lakini ili ubora huo utimie wanafamilia wanahitaji muda wa kukaa pamoja na kuzungumza mustakabali wa maisha yao. Familia inayotajwa hapa…
Taarifa za Umma bado ni siri, vyombo vya habari kitanzini
Kupata taarifa ni haki ya kila raia wa Tanzania lakini haki hiyo bado haitekelezwi ipasavyo katika baadhi ya taasisi za kiserikali kutokana na urasimu wa upatikanaji wa taarifa hizo. Kimsingi…
Waziri akiri maeneo mengi ya taasisi za serikali hayajapimwa, wananchi wanavamia na kujenga makazi
Serikali imezitaka taasisi za umma zinazomiliki ardhi katika maeneo ya wazi kupima na kupata hati ya umiliki ili kukabiliana na watu wanaovamia maeneo hayo na kujenga makazi bila kuwa na…
Migogoro ndani ya vyama vya siasa inavyochochea ukuaji wa Demokrasia nchini
Katika mfumo wa vyama vingi hasa vyama vikubwa vyenye ushawishi katika jamii, migongano na malumbano ya ndani kwa ndani ni jambo la kawaida. Na hii hujidhihirisha kwa kuibuka vikundi vya wanachama wachache…
Tanzania kupata hisa katika uchimbaji wa mafuta nchini Uganda
Pamoja na Tanzania kufaidika kiuchumi kutokana na ujenzi wa bomba la Mafuta toka Kabaale, Uganda hadi jijini Tanga, bado itapata hisa za asilimia 8 katika uendeshaji wa shughuli za uzalishaji…
Is Tanzania’s Adolescent Fertility Rate Three Times Higher Than Global Counterparts?
The Comprehensive Community-Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT), an organization which works to provide affordable medical and rehabilitative services for mothers and newborns throughout Dar-es-Salaam, marked World Contraception Day on September 26 with…