Uongozi Tanga wakwamisha kupatikana kwa mashine ya tiba Bombo hospitali
UONGOZI wa Mkoa wa Tanga unakwamisha kupatikana kwa vifaa vya tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Bombo kutokana na ukiritimba. Uchunguzi uliofanywa na FikraPevu umebaini kuwa kukosekana kwa baadhi ya…
Mradi wa Maji Ziwa Victoria washindwa kutatua kero wilayani Misungwi
UKAME wa kutisha uliotokea mwaka 2015 katika maeneo kadhaa nchini ulisababisha wananchi wengi kupata taabu ya maji safi na salama na kulazimika kunywa maji ya madimbwi, baadhi wakichangia na wanyama.…
Ahadi za kisiasa zakwamisha upatikanaji wa maji wilayani Magu
TANGU mwaka 2010 Wilaya ya Magu mkoani Mwanza inayopakana na Ziwa Victoria imekuwa ikishuhudia matamko mengi ya wanasiasa na viongozi wa serikali wakitoa ahadi za upatikanaji wa maji. Lakini pamoja…
Mabadiliko ya Mitaala yanavyoathiri mfumo wa Elimu Tanzania
DHANA na msingi mkubwa wa maendeleo yoyote duniani ni kubadilika. Hii ina maana kuwa mabadiliko yenye tija kwa wananchi, yanayoonesha wapi mustakhabali wa nchi ilikotoka, iliko na inakoelekea na ilipokosea.…
Kampuni nyingine ya maji yahitajika Dar kukabiliana na ongezeko la mahitaji?
KAMPUNI nyingine ya huduma ya maji inahitajika ili kukabiliana na ongezeko kubwa la mahitaji kutokana na kile kinachoonekana kuzidiwa kwa Kampuni ya Huduma za Maji Safi na Maji Taka Dar…
Wananchi jijini Dar waizomea Zimamoto; mwenye nyumba azimia baada ya nyumba kuteketea kwa moto
WANANCHI wa eneo la Tegeta Machakani jijini Dar es Salaam wamewazomea askari wa kikosi cha Zimamoto baada ya kuchelewa kufika kufanya kazi yao ya kuzima moto kwenye nyumba moja mtaani…
Tafiti zaidi zinahitajika kutokomeza tatizo la watoto wanaozaliwa kabla ya wakati
UWEPO wa watoto katika familia ni furaha kwa wanandoa, wengi huamini kuwa watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Wazazi wanawekeza fedha na muda mwingi kuwalinda na kuwakuza katika mwenendo mzuri…
Elimu ya Tanzania yasababisha kuibuka kwa matabaka ndani ya jamii
ATHARI mojawapo ya uwepo wa matabaka ni kukosekana kwa amani, kitu kinachosababishwa na kundi moja kuwa na uwezo wa kupata mahitaji na jingine kushindwa. Hali hiyo hufanya ombwe la watu…
Gazeti la MAWIO laibwaga Serikali Mahakamani. Kurejea mtaani Alhamisi wiki ijayo
HATIMAYE gazeti la MAWIO lililofutwa na serikali ya Tanzania na kuacha kuchapishwa kwa zaidi ya mwaka mmoja, limerejea mtaani kwa uamuzi wa Mahakama Kuu. Serikali ililifuta gazeti hilo na kulizuia…