Hofu ya kauli mbaya za wahudumu wa afya zaongeza vifo vya watoto na wajawazito
HOFU za wananchi wengi kutukanwa au kukejeliwa na wahudumu wa afya wilayani Bunda mkoani Mara kimetajwa kuwa chanzo moja wapo cha vifo vya wajawazito na watoto chini ya miaka mitano.
Wakazi wa Songea wakosa huduma ya Vipimo kufuatia darubini kutumia mwanga wa jua
Wakazi wa kijiji cha Ifinga katika kata ya Ifinga wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma, wanakosa huduma ya vipimo vya maabara kwa kutokana na Darubini kutumia mwanga wa jua na…
Wanaopata huduma za kliniki Bunda, wanajifungulia kwa wakunga wa jadi
ASILIMIA 32 ya wajawazito wanaopata huduma za kliniki katika vituo mbalimbali vya kutolea huduma wilayani Bunda, mkoani Mara hujifungulia majumbani na kwa wakunga wa jadi. Muuguzi Mkuu wa wilaya hiyo,…
Halmashauri ya Iringa yakosa fedha za UKIMWI; wajawazito na watoto waathirika
IKIWA imebaki takribani miezi minne mwaka wa fedha wa 2012/2013 umalizike, Ofisi ya Mratibu wa UKIMWI wa Halmahsuari ya wilaya ya Iringa haijapata fedha yoyote kutoka katika bajeti yake na…
Dk. Slaa: Video ya Lwakatare ni feki!
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa amezungumzia video aliyorekodiwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare na kusema ni ya kutungwa…
Miaka 50 ya uhuru tunasumbuliwa na mbu wanaoishi siku 7!
TUMEFURAHIA na kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa taifa letu la Tanzania. Tumejiorodheshea mengi ya kujivunia. Yote yanaonekana. Wengi walifurahia lakini si wote tutanyamaza bila kuyasema mapungufu yanayoonekana.
Bunda: Ukosefu wa maji safi wapelekea wananchi kutumia maji machafu ya mitaro
Wakazi wa wilaya ya Bunda mkoa wa Mara, wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko katika kipindi hiki cha mvua, yanayosababisha na ukosefu wa maji safi na salama.
Wakunga wa jadi 202 wapewa elimu ya afya Bunda
WAKATI mkoani Mbeya wakunga wa jadi wakizidi kudharauliwa na kukatazwa kuzalisha wajawazito, halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imewapa mafunzo wakunga wa jadi 202 kwa ajili ya kuzalisha wajawazito…
Mchungaji asomewa mashitaka hospitalini
MCHUNGAJI Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo(DRC) Jean Felix Bamana (45) amesomewa mashitaka akiwa kitandani katika hospitali ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi mjini Moshi, akikabiliwa na…