Kuporomoka majengo Dar: Tumekwama, tumeshindwa!
Sherehe za pasaka ziliingia dosari hususan kwa wakazi wa Dar es Salaam kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 mtaa wa Indira Gandhi katikati ya mji. Watu wengi wamejeruriwa na…
Content that Counts!
Sherehe za pasaka ziliingia dosari hususan kwa wakazi wa Dar es Salaam kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 mtaa wa Indira Gandhi katikati ya mji. Watu wengi wamejeruriwa na…
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mkazi mmoja wa mtaa wa Bugarika jijini Mwanza, Malimi Mathias ameuawa kikatili kwa kuchinjwa kisha kuachanishwa kichwa na kiwiliwili.
KAMPUNI ya Game Frontiers Tanzania(GFT) inayojishughulisha na uwindaji wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma, kwa kushirikiana na kikosi cha askari wanyamapori katika pori la akiba la Selous, wamefanikiwa kukamata pembe za ndovu…
KWA mara nyingine tena, Serikali imeingia hasara baada ya Meli yake ya Mv. Victoria inayofanya safari zake kutoka Jijini Mwanza kwenda Bukoba mkoani Kagera, kuwaka moto muda mfupi baada ya…