Katavi: Vyumba vitano kujengwa, madawati 300 yatengenezwa kuwanusuru wanafunzi 750 wa Shule ya Mkuyuni wanakaa chini
HALMASHAURI ya Kavuu katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imeanza kuchukua hatua ya kutengeneza madawati 300 na kujenga vyumba vitano vya madarasa katika Shule ya Msingi Mkuyuni, Kata ya Majimoto.…