Lions Club, Halmashauri ya Morogoro yawatelekeza wanafunzi iliyowaahidi kuwasomesha
– Mkuu wa Chuo akataa kuwapokea mpaka walipe ada – Lions Club Morogoro yasema ilikuwa hisani tu kwa wanafunzi hao Wanafunzi 24 wa Chuo Cha Uuguzi Cha Berega kilichopo Kilosa…