GREENLAND: Ulevi, ukosefu wa usingizi unavyochochea watu kujiua
Matukio ya watu kujiua yameendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini. Watu ambao wanaondoa uhai wao kwa kunywa sumu, kujinyonga au kujirusha kwenye majengo marefu, sio mambo mageni tena. Zipo sababu…
Ripoti ya CAG kaa la moto. CCM yaibuka kuitetea serikali upotevu trilioni 1.5
Kufuatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuibua upotevu mkubwa mapato Serikalini wa trilioni 1.5, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejitokeza kutoa ufafanuzi na kudai fedha…
Je, unafahamu watu wanapataje Mzio (Allergy) ya vitu, hali ya hewa au vyakula?
Watu wanaweza kupata mzio wa vitu au vyakula katika namna mbili; Kwanza, wanawaweza kuwa na mzio wa kitu fulani tangu kuzaliwa (Hii ni kutokana na vinasaba vyao) au wanaweza kupata…
Vigogo Halmashauri za Monduli, Karagwe, Biharamulo kikaangoni upotevu wa milioni 171.8 za miradi ya maji
Maji ni uhai. Ni uhai kwasababu yanabeba dhana nzima ya mwanadamu yeyote kuishi na kufanya shughuli zingine za maendeleo. Pia maji ni uhai kwasababu yanagusa sekta zote za uzalishaji, popote…
Waziri awataka wakulima kutumia mbaazi kwa chakula kukabiliana na anguko la bei
Kutokana na kudorora kwa soko la nje la mbaazi, Serikali imewataka wakulima kutafuta na kuimarisha soko la ndani kwa kutumia kama chakula ili kujenga na kuimarisha afya za wananchi. Msimamo…
Zifahamu sababu za kisayansi, kiuchumi za ndege kupakwa rangi nyeupe
Kama umewahi kupanda au kuiona ndege, utakuwa umegundua kuwa ndege nyingi zina rangi nyeupe. Hata kama zimepakwa rangi nyingine lakini nyeupe haiwezi kukosa. Lakini umewahi kujuuliza kwanini ndege nyingi zina…
Kanuni Mpya za Maudhui ya Mtandaoni: Kikwazo kingine cha uhuru wa kujieleza, kupata taarifa
Kwa muda mrefu sasa intaneti imekuwa ni jukwaa muhimu la kuwaunganisha watumiaji wa mitandao ya kijamii duniani kote; kupashana habari na kupadilishana uzoefu wa kijamii, kiuchumi, kisiasa na hata kiutamaduni.…
Sababu za kukosa usingizi wakati wa ujauzito na tiba yake
Jukumu la kutunza familia ni la wazazi wote wawili yaani mwanaume na mwanamke. Lakini majukumu ya mwanamke huongezeka pale anapopata ujauzito, hulazimika kumlea mtoto aliyepo tumboni mpaka azaliwe salama. Katika…
Mgawanyo usio sawa wa hospitali, zahanati unavyokwamisha huduma za afya kwa wananchi
Imeelezwa kuwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kutokana na uchache wa vituo vya kutolea huduma hizo ambavyo haviendani na ongezeko la idadi ya…