Rufiji: Wajawazito wakosa huduma ya Choo
Zahanati za Ndundunyikanza na Mtanza zinazopatikana katika kata ya Kipugira wilayani Rufiji hazina huduma za vyoo. Hali hiyo inawalazimu wajawazito wanaofika kwenye zahanati hizo kwa ajili ya kupima na wengine…
Choo cha muuguzi na vichaka vya nyasi
Unaweza usiamini kuwa unaingia kwenye choo kinachotumiwa na mtu anayejua nini maana ya neno ‘afya bora’. Hata hivyo, katika hali halisi, choo kinachotumiwa na muuguzi, Ester Malangwa, hakifai kutumiwa na…
Serikali yatakiwa kutimiza wajibu wake wajawazito wapate huduma bure
UONGOZI wa Hospitali Teule ya Ilembula, wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe umeiomba serikali kutekeleza vifungu vyote vya makubaliano ya uendeshaji wa pamoja wa hospitali hiyo ili huduma kwa makundi maalumu wakiwemo…
Hizi ndizo pilikapilika za Mto Rufiji
Unapozungumzia shilingi 100 katika jiji la Dar es salaam thamani yake ni ndogo sana kutokana na hali halisi ya kupanda kwa gharama za maisha, kwani ukiwa na kiasi hicho cha…
Njia KUMI rahisi za kupunguza Uzito
Kabla ya kukimbilia kujinyima vyakula ili kupunguza uzito, inabidi uamue ni uzito gani unaouhitaji. Wataalamu hawashauri kushusha uzito ghafla kwa zaidi ya kilo 22 ndani ya wiki.
Elimu yetu Tanzania: Suala la kujifunza na changamoto za utandawazi
Poleni watanzania wenzangu kwa habari ya kusikitisha ya wahitimu wa Kidato cha Nne 2012 kuwa na ufaulu wa kusikitisha (zaidi ya 90% wamefeli kwa kupata div 4 au ziro). Kwa…
Mauaji ya Viongozi wa Dini: Maaskofu Mbeya waishukia CCM na Serikali yake!
MAASKOFU mkoani Mbeya wametoa tamko zito kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kufuatia mfulululizo wa matukio ya mauaji ya viongozi wa dini na vurugu zinazoendana na vita ya…
‘Kwa nini nachimba dhahabu mtoni?’
RAMADHAN Abdul (19) anaishi na wazazi wake katika kijiji ambacho ajira kubwa ni kilimo. Kijana huyo anaishi kijiji cha Kibangile, kilichoko katika kata ya Kisemu, tarafa ya Matombo, mkoani Morogoro.
Vifaa kwa Wachimbaji Madini na athari za wao kuvikosa
Suala la vifaa vinavyohusika na uchimbaji madini hapa nchini limekuwa na utata na mtazamo tofauti kwa kila upande uwe wa wafanyakazi migodini, wamiliki wa vitalu na serikali.