VITUKO katika sherehe za miaka 50 ya Uhuru mkoani Mwanza
MAADHIMISHO ya miaka 50 ya Uhuru Tanganyika (Tanzania Bara?) ngazi ya mkoa wa Mwanza yaliingia dosari baada ya idadi kubwa ya wananchi wa kawaida, watendaji wa Halmashauri na Wilaya pamoja…
Mwanza: Majambazi yavamia, yapora!
WATU saba wanaosadikiwa kuwa ni majambazi yaliyokuwa na silaha za moto, yamevamia na kuuteka kwa saa kadhaa mji wa Itabagumba, Wilayani Sengerema mkoani Mwanza. Inadaiwa kwamba, tukio hilo lilitokea majira…
Miaka 50 ya uhuru Mwanza: RC awataka wananchi waendelee kuwa wavumilivu
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, amewataka wakazi wa mkoa huu waendelee kuwa wavumilivu; na hasa katika kipindi hiki ambacho licha ya kutimiza miaka 50 ya uhuru, alikiri…
Maaskofu: Tanzania imeelemewa na vilema vya ufisadi
KATIKA kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), limesema taifa limepoteza dhana ya uwajibikaji, uzalendo safi na mtazamo chanya wa maendeleo na ustawi wa wananchi,…
Zitto amvaa Spika kuhusu posho; Asema aweza kuvuliwa uspika kwa kuvunja sheria kwa makusudi!
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) Bw. Zitto Kabwe amesema kuwa uamuzi wa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Anna Makinda kuhalalisha kupanda kwa…
Albino Mwanza kugomea sherehe za miaka 50
CHAMA cha watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), Mkoani Mwanza (TAS), kimeapa kutoshiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, kwa madai kwamba Serikali imeshindwa kukomesha mauaji ya…
Dk. Chegeni atishia kuishtaki DIRA ya Mtanzania
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Busega Wilayani Magu mkoani Mwanza, Dk. Raphael Masunga Chegeni (CCM), ametoa muda wa siku saba kwa gazeti la DIRA ya Mtanzania kumuomba radhi, kutokana na…
Serikali yadaiwa kuibagua Musoma misaada ya Mafuriko; Kisa kuchagua CHADEMA?
OFISI ya Waziri Kuu kitengo cha Maafa, imetupiwa lawama nzito na wananchi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara, wakiwemo waathirika wa mafuriko katika manispaa hiyo, kwa kile kinachodaiwa kushindwa kupeleka…
Pinda ashiriki maadhimisho ya miaka ya 40 ya Hospitali ya Bugando
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda, ameeleza kushtushwa na ongezeko kubwa la ugonjwa wa Saratani kwa wananchi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa, na kusema ni…