Tanzania: Sekta ya Utalii na hatma yake

SEKTA ya utalii hapa nchini imekuwa ikichangia kwa kiasi kikubwa katika pato la taifa kutokana na kuwepo fursa mbalimbali za utalii. Hata hivyo sekta hii muhimu na nyeti bado imeonekana…

Latifa Ganzel

Polisi Kagera wamuua mchimba madini kwa risasi

WAKATI Polisi wakiendelea kukosolewa kwa kutumia nguvu kubwa kuzuia matukio ya uhalifu,polisi mkoani Kagera wamemuua kwa risasi mchimba madini mdogo wilayani Biharamulo ambaye jina lake halijafahamika. Kwa mujibu wa taarifa…

Jamii Africa

Kyaka wajiandaa kumkabili Magufuli ubomoaji wa nyumba bila fidia

WAKAZI wa mji wa Kyaka wilayani Missenyi wamesema hawako tayari kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya Kyaka - Bugene bila kupewa fidia vinginevyo watalala barabarani kupinga uamuzi…

Jamii Africa

The unheard voices, unhealed injuries

FOR Jacqueline Mwamfupe*, a sex hooker plying her business at the Mbeya Carnival Night Club, love has turned to be the pleasures of the past as it has left her…

Daniel Mbega

Wazazi wamtelekeza mtoto mlemavu wa miaka mitatu

MTOTO Anna Mapunda mwenye umri wa miaka mitatu  mkazi wa kijiji cha Mkako wilayani Mbinga mkoani Ruvuma anahitaji msaada wa matibabu katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam baada…

Albano Midelo

The long walk to school

IT’S about 11:26hrs when I mount off a Honda 250R motorbike after about 100km drive from Mbeya to Kapunga village, about 26km from Chimala town where the Mbeya-Dar main road…

Daniel Mbega

Darpori Kijiji chenye wakazi 10,000 hakina zahanati

WAHENGA walisema tembea uone mambo,ndivyo nilivyofanya mimi kufunga safari kutoka mjini Songea hadi kufika katika kijiji cha Darpori wilayani Mbinga mkoani Ruvuma umbali wa takribani kilometa 200.

Albano Midelo

Foreign direct investment: A disaster

The Tanzania government has been advised to draft laws to curb acquisition by foreigners of extensive tracts of the country’s fertile agricultural land as foreign direct investment would be a…

Daniel Mbega

Ubovu wa barabara chanzo cha raia kulipa nauli kubwa

UBOVU wa barabara yenye urefu kilometa 82 kutoka wilayani Mbinga hadi katika kijiji cha Darpori kilichopo mpakani mwa  nchi za Tanzania na Msumbiji kumesababisha abiria kulipa nauli kati ya shilingi…

Albano Midelo