Wrongfully jailed U.S. Black Panther dies at 63
Elmer G. Pratt, a Black Panther leader who was imprisoned for 27 years for murder and whose marathon fight to prove he had been framed attracted support from civil rights…
Kesi ya Manji dhidi ya Mengi kuendelea
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Juni 7, mwaka huu itatoa uamuzi wa kuyapokea au kutoyapokea kama kielelezo cha ushahidi magazeti yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mfanyabiashara Yusuf Manji ambaye ni mlalamikaji…
Wadakwa wakitorosha dawa hospitali ya mkoa wa Kagera
WAFANYAKAZI wanne wa hospitali ya mkoa wa Kagera wakiwemo wafamasia wawili wanashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuiba dawa za wagonjwa zenye thamani ya shilingi 480.000. Kaimu kamanda…
Polisi watuhumiwa kupiga walinzi wa kampuni; wakidhani majambazi
WALINZI wawili wa kampuni ya Cob Web Security Ltd wamelazwa katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema Mkoani hapa, huku mmoja wao akiwa mahututi baada ya kupigwa na askari Polisi …
WHO: Simu za Mkononi “zaweza kusababisha” Kansa!
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa angalizo kwa watumiaji wa simu za mkononi duniani kuwa waangalifu kwani matumizi ya muda mrefu ya simu hizo yaweza kusababisha kansa. Angalizo hilo la…
Kijana amchinja baba yake na kumzika
WATU wawili wanasakwa na jeshi la polisi mkoani Kagera kwa tuhuma za kumkata vipande viwili Richard Raphael (55) na kumzika, mmoja wa watuhumiwa akiwa ni mtoto wa marehemu. Kamanda wa…
Viongozi wabovu watoke!- Askofu amwambia Kikwete
Askofu Stephan Mang'ana ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Maskofu wa kanisa la Mennonite Tanzania amempiga kijembe Rais Jakaya Kikwete pale alipomwambia kuwa viongozi walioshindwa kuongoza waachie ngazi na…
Daktari Feki afanya ziara gharama ya Halmashauri Ngara; apewa ulinzi na Polisi
Kama vile mlolongo wa vituko na kashfa havijaisha serikalini huko Ngara mtu aliyejitambulisha kuwa ni daktari wa magonjwa ya binadamu na afisa kutoka Wizara ya Afya ameivuruga wilaya ya Ngara…
Waliouawa Tarime walipigwa risasi toka nyuma; Miili yaachwa barabarani?
Taarifa ya uchunguzI wa vifo vya wananchi waliouawa mikononi mwa Polisi huko Tarime inadaiwa kuonesha kuwa marehemu wote wanne walipigwa risasi kutokea nyuma ikiashiria kwamba walikuwa wamewapa migongo polisi. Kwa…