Wakazi Dodoma wajiandaa kisaikolojia ujio wa foleni za magari
Ni dhahiri kuwa mji wa Dodoma unakua kwa kasi kutokana na uamuzi wa serikali kuhamishia shughuli zake wa utawala mjini humo, jambo linalochochea ongezeko la watu na shughuli za usafiri.…
Uhaba wa madaktari, msongamano wa wagonjwa waitesa Zahanati ya Bugarika jijini Mwanza
Imeelezwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kwenye zahanati na vituo vya afya kutokana na uhaba wa madaktari na wahudumu wa afya unaoendelea nchini.…
ACFTA: Pambazuko jipya la Afrika ‘ Tuitakayo’
Mnamo tarehe 21 mwezi wa tatu mwaka huu Afrika iliweka historia kwa viongozi wa Afrika kutia sahihi ya kuwa na soko huru la Afrika. Viongozi kutoka nchi 44 na zaidi…
Wanafunzi nchini kupimwa TB kabla ya kuanza masomo
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jnsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza madaktari katika hospitali na vituo vya afya kuwafanyia uchunguzi wa ugonjwa wa kifua kikuu wanafunzi kabla ya…
Kuanzishwa soko la pamoja la Afrika kuipaisha au kuididimiza Tanzania?
Jumatano ya Machi 21 mwaka huu katika jiji la Kigali, Rwanda lilifanyika tukio la kihistoria la kufufua ndoto na matumaini ya waasisi wa bara la Afrika yenye lengo la kuzileta…
Wananchi vijijini walalamika kucheleweshewa huduma ya umeme.
Upatikanaji wa nishati ni nguzo muhimu kwa maendeleo na kupunguza umasikini katika jamii lakini kwa watanzania wengi bado imekuwa ni ndoto iliyokosa suluhisho la kudumu. Inaelezwa kuwa asilimia 70 ya…
SIKU YA MAJI DUNIANI: Tusiruhusu madhila ya maji Cape Town yakaikumba Dar
Mara nyingi mgeni anapoingia mahali, imezoeleka kupokewa kwa shangwe na maneno mazuri ya kumkaribisha, ili ajisikie yuko salama na eneo salama. Maneno yanayosikika kutoka kwa wenyeji ni “karibu, pole kwa safari”…
Sakata la Mwenyekiti wa TSNP, Abdul Nondo lachukua sura mpya. Afikishwa Mahakamani Iringa, anyimwa dhamana
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (TSNP), Abdul Nondo aliyedaiwa ‘kujiteka’ amefikishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kujibu mashtaka mawili ya kutoa taarifa…
Urasimu ‘Mifuko ya Mawasiliano kwa wote’ wakwamisha miradi ya mawasiliano vijijini
Upatikanaji wa huduma ya intaneti kwa urahisi na kwa wote ni kipaumbele muhimu cha kijamii na kiuchumi kilichowekwa na nchi mbalimbali duniani ili kuhakikisha dunia inaunganishwa kwa mawasiliano ya uhakika…