Mradi wa Stiegler’s Gorge kutua mikononi mwa Kamati ya Urithi wa Dunia
Kamati ya Urithi wa Dunia ya Umoja wa Mataifa inatarajia kuamua kama Pori la akiba la Selous liondolewe miongoni mwa maeneo ya urithi wa dunia, kufuatia Serikali ya Tanzania kuanza…
Vyakula hivi vitakulinda dhidi ya athari za kiafya za uchafuzi wa hewa
Tunaishi katika ulimwengu unaokabiliwa na athari kubwa za mabadiliko ya hali ya hewa. Moja ya athari hizo ni kuongezeka kwa joto na kupungua kwa mvua katika maeneo mbalimbali. Athari hizi…
Sheria Mpya ya madini yaanza kuinufaisha Tanzania
Serikali ya Tanzania imeanza kunufaika na sheria mpya ya madini kwa kufanikiwa kukusanya mrabaha wa Tsh Milioni 615 kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Tanzanite katika robo ya kwanza ya mwaka…
Uuzaji, umiliki wa silaha Rwanda usiwe sababu ya kuvuruga amani Afrika
Hivi karibuni Rwanda imebadili Sheria yake ya mwaka 2009 iliyokuwa inakataza umiliki na uuzwaji wa silaha za moto. Sheria mpya ya silaha za moto nchini humo inaruhusu wananchi kumiliki silaha…
Sababu 6 zinazothibitisha kwanini kukosolewa ni jambo zuri
Mark Thomas anasema, kukosolewa kunaweza kuwa kitu kizuri bila kujali imetoka kwa mtu wa aina gani au anayefanya kazi gani. Kukubali kukosolewa yaweza kuwa jambo gumu sana. Katika nafasi fulani…
Raia wa Rwanda watahadharishwa kuingia pori la akiba Kimisi Kagera
Rwanda imewaonya raia wake wanaoingia kinyume cha sheria katika Mbuga za Wanyama mkoani Kagera kwa madai kuwa wanahatarisha ujirani mwema baina ya nchi hiyo na Tanzania. Hatua hiyo imekuja siku…
Ulaji mbaya wa chakula watajwa kusababisha kansa ya matiti kwa wanawake
Thamani ya maisha haiko kwenye muonekano wa mtu na vitu vinavyomzunguka bali kwenye chakula anachokula kila siku ili kuwa na afya njema. Lakini umewahi kujiuliza, chakula kinawezaje kupunguza uwezekano wa…
Sekta ya fedha yatakiwa kuongeza ubunifu kuwafikia wajasiriamali
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga imeitaka sekta ndogo ya benki kuongeza ubunifu kwa kutoa mikopo ya muda mfupi na mrefu ili kuboresha biashara za wajasiriamali…
Bei ya nafaka yashuka, wakulima waitaka serikali kufungua milango ya kuuza nje ya nchi
Imeelezwa kuwa uamuzi wa serikali ya Tanzania kuzuia usafirishaji wa mahindi nje ya nchi umeshuha bei ya zao hilo katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kushuka kwa bei ya mahindi kumetokea…