Tofauti ya utegemezi kati ya bajeti kuu ya serikali na bajeti ya elimu yaibua mjadala
Wakati utegemezi katika bajeti kuu ya Serikali ukishuka mwaka hadi mwaka, utegemezi katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia umekuwa ukiongezeka jambo ambalo wadau wanaeleza kuwa huenda likaathiri utoaji wa…
Wanasayansi wagundua virusi vya Zika kutibu kansa ya ubongo
Virusi vya Zika vinavyosababisha watoto kuzaliwa wakiwa na ubongo uliodumaa na vichwa vidogo vimeibainika kama njia mojawapo ya kutibu kansa ya ubongo ijulikanayo kama ‘glioblastoma’ Homa ya Zika ni ugonjwa…
Ubinafsishaji wa demokrasia unavyodidimiza maendeleo Afrika Mashariki
Wagiriki wana tafsiri yao demokrasia kama ‘uongozi wa watu’. Na tafsiri ya kisasa inaelezeaza demokrasia zinasema ni mfumo wa serikali unaoongozwa na watu moja kwa moja ama kwa kutumia wawakilishi…
Suluhu ya mnyororo wa thamani ya mazao ya chakula yapatikana
Serikali ya Tanzania inakusudia kuingia makubaliano na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kufadhili mradi wa kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao ya chakula ili kuinua kipato cha wakulima na…
Jinsi ya kukabiliana na athari za kiafya za kukaa muda mrefu
Imethibitishwa bila shaka kwamba kukaa muda mrefu kwenye magari, ofisini au kwenye viti kunasababisha matokeo hasi kwa afya. Tabia hiyo ya kukaa muda mrefu inahusishwa na kupata uzito uliopitiliza, magonjwa…
Tanzania yapata somo utoaji wa chakula shuleni
Wakati mjadala ukiendelea kuhusu serikali ya Zanzibar kuagiza walimu 300 kutoka Nigeria kwaajili ya kufundisha masomo ya sayansi, nchi hiyo imeendelea kutoa somo la uboreshaji elimu kwa Tanzania baada ya…
Wajawazito watakiwa kuhudhuria kliniki kujiepusha na fistula
Imeelezwa kuwa wanawake kati ya 1,200 na1,500 hupata ugonjwa wa fistula nchini na hali inayohatarisha maendeleo ya afya zao na watoto wanaozaliwa kila mwaka. Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa…
Njia 4 ambazo waliofanikiwa huzitumia kutojali kile wanachofikiria watu wengine
Kwa namna moja au nyingine, wote kwa namna fulani tumewahi kujutia kujali sana kile ambacho watu wengine wanakifikiria au watakifikiria. Tunasita kuwa wabunifu, wavumbuzi au kusema kwa uwazi kile tunachokiwaza…
Mahakama kutoa uamuzi Mei 28 kama Maxence na wenzake wana kesi ya kujibu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kuwa Mei 28, 2018 itatoa uamuzi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo na mwenzake wana kesi ya kujibu au la. Uamuzi…