Umoja wa Ulaya waitaka Tanzania ijitathmini mapambano dhidi ya Rushwa
Yasema dawa ya rushwa ni uwazi na uwajibikaji Kuzijengea uwezo Asasi ya Kiraia kukuza Demokrasia nchini Umoja wa Ulaya (EU) umeitaka serikali ya Tanzania kuimarisha taasisi za uwajibikaji na uwazi…
Ujenzi wa hosteli shule ya Nandembo kuwalinda wasichana dhidi ya ‘mafataki’
Umbali kutoka shule na mazingira wanayoishi wanafunzi una nafasi kubwa ya kuathiri maendeleo ya wanafunzi kielimu. ili kukabiliana na changamoto hiyo baadhi ya shule zimejenga hosteli karibu na shule ili…
UTAFITI: Wagonjwa watoa fedha, vitu kwa daktari ili wapate upendeleo
Licha ya serikali kuboresha miundombinu ya sekta ya afya, bado vituo vingi vya afya vinatoa huduma hiyo kwa upendeleo na kuwabagua baadhi ya wagonjwa ambao hawana fedha. Kwa mujibu wa…
Wakulima wa tumbaku hatarini kukosa soko, mahitaji ya zao hilo yapungua duniani
Mafanikio ya mkulima ni kupata soko la mazao ambalo litakuwa na bei nzuri ambayo itampatia faida na kurudisha gharama zote uzalishaji alizotumia katika kipindi chote cha kulima kwake. Bei ya…
Sauti za Wananchi: Rushwa yatawala kazini, ushindani waongezeka sekta ya ajira
Licha ya maoni ya wananchi wengi kuonyesha vitendo vya kutoa na kupokea rushwa kupungua katika sekta ya umma, lakini vitendo hivyo vimeshamiri katika maeneo ya uzalishaji na kuathiri sekta ajira…
Maji ya mto Songwe kuzalisha umeme wa megawati 180.2
Wakati Tanzania ikitajwa kuwa miongoni mwa nchi duniani zenye mahitaji makubwa ya maji, serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi inatekeleza miradi mbalimbali kulinda vyanzo vya maji ikiwemo mito. Mapema mwaka…
CCM yajibu mapigo, yamng’oa kigogo CHADEMA
Siku chache baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumpa uanachama aliyekuwa Mbunge wa CCM, Lazaro Nyalandu, chama hicho kimejibu mapigo kwa kukubali maombi ya Mwenyekiti wa Baraza la…
Wananchi Tunduru watozwa sh. 50 kugharamia ujenzi wa vyoo shuleni
Mazingira bora ya kufundishia na kujifunzia katika shule ni kichocheo kwa wanafunzi kufanya vizuri katika masomo yao na kupata ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kutatua changamoto zilizopo katika jamii. Uwepo wa…
Serikali imetakiwa kudhibiti bidhaa za nje kuchochea ukuaji wa viwanda vya ndani
Ili kukuza pato la ndani la Taifa (GDP), Serikali imeshauriwa kutengeneza mfumo wa kulinda viwanda vya ndani kwa kudhibiti bidhaa zinazoagizwa nje ya nchi ili kuboresha huduma za kijamii na…