Wasafirishaji wa kahawa, chai waneemeka na ushuru wa forodha
Wasafirishaji wa kahawa, chai, samaki na ngozi kutokana Tanzania kufaidika na soko la Afrika Mashariki baada jumuiya hiyo kuanzisha mfumo wa pamoja wa forodha mipakani unaolenga kuimarisha biashara. Mfumo huo…
Wasafiri kutoka China kuipata thamani sekta ya utalii Tanzania
“Nafikiri kichocheo kikubwa cha uchumi wa Tanzania kitakuwa utalii,” hayo yalikuwa maneno ya Gavana Mstaafu, Prof Benno Ndulu wakati wa Mkutano wa mwaka wa taasisi ya utafiti wa uchumi na…
Wilaya 6 vinara ugonjwa wa ukoma nchini. Mila potofu zachochea tatizo kwenye jamii
Imeelezwa kuwa watanzania wanashauriwa kuendelea kujihadhari na ugonjwa wa ukoma, licha ya kupungua kwa maambukizi yake katika maeneo mbalimbali nchini. Tahadhari hiyo inatokana na uchunguzi wa Wizara ya Afya, Maendeleo…
MPANDA: Shule inayoongoza kwa ufaulu Kyela licha ya changamoto lukuki
Wanafunzi wa shule ya msingi Mpanda iliyopo kata ya Ipyana wilayani Kyela wanalazimika kusoma kwa kupokezana kutoka na madarasa ya shule ya kuchakaa na kutokufanyiwa ukarabati kwa muda mrefu. Mwalimu…
Mgongano wa kisheria unavyokwamisha uwekezaji Afrika Mashariki
Baada ya Tanzania na Kenya kufanya mabadiliko ya kisheria katika sekta ya madini, ripoti mpya ya utafiti imeeleza kuwa hatua hiyo ni kikwazo katika kuvutia uwekezaji katika nchi hizo za…
UTAFITI: Watu wanaochelewa kulala wako katika hatari ya kufa mapema
Utafiti uliotolewa hivi karibuni umebaini kuwa watu wanaochelewa kulala wana uwezekano mkubwa wa kufa mapema kuliko wale wanaoamka mapema wakati wa usubuhi. Msingi wa utafiti huo ni kwamba watu wanaolala…
Wazazi wahoji elimu bila malipo isiyo na viwango vya ubora
Utafiti mpya uliotolewa na taasisi ya Twaweza unaonyesha kuwa mtazamo wa wananchi kuhusu utoaji elimu bila malipo umebadilika, wengi wao wangependa kulipa ada ili elimu inayotolewa kwa watoto wao izingatie…
Tanzania, Kenya zavutana ushuru wa pipi
Serikali ya Kenya imesema itazuia bidhaa za Tanzania kuingia nchini mwake baada ya Mamlaka ya forodha kuendelea kutoza ushuru kwa bidhaa zinazotengenezwa kwa sukari kutoka nchini humo. Bidhaa hizo za…
Kwanini ni vigumu kuomba msaada?
Ni matarajio au matamanio ya kila mtu kusaidiwa kukamilisha jambo fulani. Iwe kazini au kwenye shughuli yoyote ya kijamii, utahitaji watu wenye ujuzi na maarifa tofauti tofauti kufanikisha malengo yako.…