BAJETI YA VIWANDA 2018/2019: Wabunge wampa waziri Mwijage somo la uwekezaji
Hatimaye Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amewasilisha bajeti ya Sh143.33 bilioni, ikiwa ni ongezeko la Sh21.1 bilioni ikilinganishwa na bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2017/18 yenye…
MSIMU WA MAVUNO: Tanzania inavyoweza kufaidika na soko la mazao Pembe ya Afrika
Serikali ya Tanzania imeshauriwa kufungua milango kwa wakulima kuuza mazao yao nje ya nchi ili kufaidika na ukuaji wa bei ya soko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya…
Vijiji vya Masoko wilayani Rungwe vyakumbukwa miradi ya maji
Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 inaelekeza kuwapatia wananchi waishio vijijini maji safi na salama katika umbali usiozidi mita 400 kutoka kwenye makazi yao. Lengo ni kufikia asilimia…
Sakata la bei ya sukari, mafuta ya kula latikisa tena bungeni. Spika Ndugai amshukia Waziri wa Viwanda
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amelazimika kuingilia kati mvutano ulioibuka bungeni kuhusu tofauti ya bei ya sukari kati ya Tanzania bara na Zanzibar na kuitaka serikali itoe majibu…
Tunduru yaja na mkakati mpya wa kutokomeza mimba za utotoni
Imeelezwa kuwa wasichana katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wako katika hatari ya kukatisha masomo na kutofikia ndoto zao kielimu kutokana na tatizo la mimba za utotoni kuongezeka shuleni. Kulingana…
Serikali yaingilia kati sakata la kodi, kupanda bei mafuta ya kula nchini
Serikali imesema kinachofanya mafuta ya kula kuadimika katika baadhi ya maeneo nchini, ni kutokuwepo kwa makubaliano ya kodi na wafanyabiashara wanaoagiza mafuta hayo kutoka nje ya nchi. Kauli ya serikali…
Likizo ya uzazi kwa wanaume na mgongano wa sheria, mila na wanasiasa
Jukumu la kumlea na kumtunza mtoto ni la wazazi wote wawili yaani baba na mama. Matunzo hayo yanaanza mama anapokuwa mjamzito mpaka siku ya kujifungua. Katika siku za mwanzo za…
Tabia 5 zinazoweza kukuhakishia maisha kwa miaka 10 ijayo
Ni matamanio ya kila mtu kuwa na afya bora itakayomuwezesha kuishi maisha marefu ili kutimiza kusudi la kuja duniani. Lakini mtindo wa maisha usiozingatia kanuni za afya umefupisha maisha ya…
MJADALA: Ni sahihi kufunika au kukiacha kidonda wazi?
Nakumbuka nikiwa mdogo, nilikuwa naambiwa kama nimepata jeraha au kidonda basi nikiache wazi ili kipate hewa safi hasa kama kidonda ni kibichi. Sikuwa na ufahamu kuhoji maelekezo hayo lakini nilitii…