Age of Wonderland, 100 Days of Learning in Dar es Salaam, Tanzania
I was part of an inspiring half-day session named 100 Days of Learning, organised by the Age of Wonderland program (www.ageofwonderland.nl) on Valentine’s Day. An initiative to foster social innovation…
Moshi: Uchangiaji wa fedha za chakula cha mchana shuleni si hiari – Mkurugenzi
TATIZO la baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi katika Manispaa ya Moshi la kubaguliwa wakati wa chakula cha mchana kutokana na wazazi wao kutochangia fedha za chakula sasa limepatiwa…
Katavi: Wanafunzi wa madarasa mawili tofauti watumia chumba kimoja, ubao mmoja, wengine chini ya mti
WANAFUNZI wa madarasa mawili tofauti katika Shule ya Msingi Kawanzige katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wanalazimika kutumia chumba kimoja na ubao mmoja kwa wakati mmoja kufundishiwa huku…
Maofisa Ugani: Kada muhimu sekta ya kilimo inayosahaulika. Ni wachache na hawana vitendea kazi
MAOFISA ugani ni miongoni mwa kada ya uongozi na wataalam wanaonyooshewa vidole kuwa chanzo cha kuzorota kwa kilimo chenye tija kwenye mazao ya chakula na biashara, pamba ikiwemo, FikraPevu inaripoti.…
Dodoma: Serikali yakubali kukabiliwa na ukata, hali ni mbaya kiuchumi
Serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli imekiri kukabiliwa na ukosefu wa fedha, hali inayoathiri utekelezaji wa shughuli zake za kila siku. Kauli hiyo imetolewa leo mjini Dodoma na Naibu…
Haya ndiyo mateso ya siri wapatayo wanawake wanaotoa mimba
KUHARIBIKA kwa kondo la nyuma, kuharibika kwa mfuko wa neva na mimba zinazofuata, kuwa tasa, kufariki kwa mama au mama kuamua kujiua baadaye, ni miongoni mwa mateso ya siri wapatayo…
Pamba: Dhahabu nyeupe iliyotelekezwa kwa kukosa pembejeo, huduma za ugani na masoko
“TUMEJIPANGA kurejesha heshima ya Kwimba katika kilimo na uzalishaji wa zao la pamba. Tumeanzisha kampeni ya kila familia kulima japo ekari moja ya zao la pamba.” Hiyo ni kauli ya…
Ukosefu wa chakula shuleni waathiri kiwango cha ufaulu mkoani Kilimanjaro
MATOKEO ya mtihani wa darasa la saba kitaifa mwaka 2016 yameupeleka Mkoa wa Kilimanjaro katika nafasi ya saba kitaifa kutoka nafasi ya nne mwaka 2015 huku kiwango cha ufaulu kikishuka…
Viwanda 17 vilivyobinafsishwa vimekufa, tunawezaje kufikia ndoto za kuwa na ‘Tanzania ya Viwanda’?
RIPOTI ya mwaka 2012 ya iliyokuwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) inasema kwamba, takriban viwanda na mashirika 17 ya umma yaliyobinafsishwa mwaka 1993…