Dodoma: Licha ya kuwepo kwa mito, ndoo moja ya maji yauzwa Shs. 700
MANENO Chegula (42) anaonekana akihangaika kukokota baiskeli yake ili kuvuka Mto Sasima, jasho linamtoka, huku akiwa amebeba madumu matano yenye maji ili kupeleka katika Kijiji cha Malolo, wilayani Mpwapwa katika…
Mihadarati: Freeman Mbowe, Simon Sirro kuibua mjadala wa kisheria
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Aikael Mbowe, amegoma tena kuitikia wito wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam uliotolewa kupitia vyombo vya habari…
Mashangingi mawili yakwamisha ununuzi wa vifaa vya maabara ya benki ya vinasaba vya wanyama Mpwapwa
KAMA Serikali ingesitisha kununua ‘mashangingi’ mawili tu kwa mwaka na kuelekeza fedha za magari hayo katika utafiti wa mifugo ingesaidia kutengeneza maabara kubwa ya kisasa ambayo ingetumika kama benki ya…
Yabainika: Wasichana wenye umri wa miaka 20 – 25 hushambuliwa zaidi na UKIMWI nchini Tanzania
MAABUKIZI ya Virusi vya Ukimwi yako juu kwa wasichana wenye umri kati ya miaka 20 na 25 kuliko walio chini ya umri huo, FikraPevu inaandika. Inaelezwa kwamba, maambukizi kwa wasichana…
Miundombinu mibovu ya Elimu mkoani Ruvuma: Nani alaumiwe?
WANAFUNZI kusomea katika madarasa yaliyoezekwa kwa nyasi, huku katika shule nyingine ikiwa na walimu wawili tu na wanafunzi 195 ni baadhi ya changamoto zinazoikabili sekta ya elimu mkoani Ruvuma. FikraPevu…
UKAME: Soko la Kimataifa la Kibaigwa lakauka. Sasa linategemea mahindi toka Mutukula
SOKO la Kimataifa la Nafaka Kibaigwa mkoani Dodoma ni jeupe baada ya kukosekana kwa nafaka, hususan mahindi huku wimbi la njaa likizikabili familia nyingi. Uchunguzi wa FikraPevu unaonyesha kwamba, kwa zaidi ya…
TUCTA watumbukia katika kashfa ya kutakatisha mabilioni ya fedha mali ya TRA
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeingia katika kashfa kubwa ya kutumika kutakatisha fedha. Katika mbinu za hali ya juu za kuingiza fedha haramu katika mzunguko halali, baadhi ya…
Hizi ndizo changamoto za Sekta ya Afya nchini Tanzania tangu Uhuru!
AFYA bora ni rasilimali muhimu na kubwa kwa maendeleo ya kiuchumi na ya kijamii. Serikali huwa na lengo la kuinua hali ya afya kwa wananchi wote mahali popote walipo ikiwa…
Dodoma: Umwagiliaji wa nchi kavu wawanusuru wakulima na baa la njaa
UHAKIKA na usalama wa chakula kwa jamii nyingi nchini Tanzania ni jambo linalopewa kipaumbele kwa ajili ya maendeleo ya uzalishaji na kuepukana na umaskini. FikraPevu inatambua kwamba, katika kipindi ambacho…