Mdororo wa Uchumi? Kampuni kubwa 6 za Kigeni kupunguza Uwekezaji kwa kuelemewa na Mzigo wa Kodi
Pichani ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adofl Mkenda amekaririwa akisema lazima kuwepo na mageuzi mapya ambayo ni magumu, ili kuufanya uchumi kuwa imara. Takribani makampuni…
Trump ashangaa kuanza zoezi la kuhesabu upya kura, amtaka Hillary Clinton kukubali amemshinda
Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump ametoa tuhuma kuwa katika uchaguzi uliofanyika Novemba 8 mwaka huu mamilioni ya watu ambao hawakustahili walipiga kura. Trump amedai kuwa angeshinda kwa kishindo zaidi…
Kupambana na Fangasi Sehemu za Siri za Mwanaume!
IDADI kubwa ya watu inasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri bila kujali jinsia na umri. Watu wengi wanaamini kuwashwa sehemu za siri kunasababishwa na fangasi tu,…
Zaidi ya nusu ya nyanya mkoani Iringa zinaoza kwa kukosa soko
KARIBU asilimia 70 ya nyanya zinazozalishwa mkoani Irnga zinapotea kwa kuharibika kutokana na ukosefu wa masoko.
Utafiti wa Twaweza: Elimu Bure bado ina Changamoto
Kati ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu ya Tano ni utoaji wa Elimu bure. Lengo la Rais John Pombe Magufuli ni kupanua wigo na kuhakikisha elimu inapatikana kwa wote hasa uboreshaji…
Serikali yadai vigezo vyote vya Kitaifa na Kimataifa vinaonyesha Hali ya Uchumi ni nzuri
Serikali imesema kuwa japokuwa kuna malalamiko ya kukosekana kwa fedha mifukoni na ugumu wa maisha hali ya uchumi sio mbaya kama baadhi ya watu wanavyotaka kuiaminisha jamii. Serikali imesema tayari…
CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi, Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90
Mwanasiasa na Mwanamapinduzi Fidel Alejandro Castro Ruz, maarufu kama Fidel Castro amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 90. Castro aliiongoza Cuba kama Waziri Mkuu kuanzia mwaka 1959…
IRAN: Watu 44 wafariki dunia, 82 wajeruhiwa baada ya treni mbili kugongana
Takribani watu 44 wamepoteza maisha na wengine 82 wamejeruhiwa baada ya treni mbili za abiria kugongana huko katika jiji la Shahroud lililopo kilometa 400 Mashariki mwa mji mkuu wa Tehran.…
DAR: Magufuli ampongeza Makonda kwa ziara za kuwafikia wananchi na kutatua kero
Rais Magufuli leo amepongeza ziara anazofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda za kuwafuata wananchi na kusikiliza kero zinazowakabili wananchi hao 'wanyonge' na kutoa suluhisho papo hapo.…