TEHAMA: Tanzania bado tuna safari ndefu
MAENDELEO ya dunia ya sasa yanakimbia haraka. Yanabadilika kila dakika na hakika, hayasubiri anayejongea. Mabadiliko haya makubwa ya dunia, yanatokana na kukua kwa teknolojia na mapinduzi ya kompyuta. Teknolojia inayoiweka…
Watoto wa Trump, Clinton ‘damudamu’
URAFIKI wa Ivanka, mtoto wa Rais Mteule, Donald Trump na Chelsea, binti wa mpinzani mkubwa wa baba yake, kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Marekani, Hillary Clinton, “hautakufa.” Wote wawili; Ivanka…
Tetemeko: Nini kinamkwamisha Rais Magufuli kwenda Bukoba?
RAIS John Pombe Magufuli “hajakanyaga” Bukoba hadi leo, zikiwa zimepita Zaidi ya siku 60 tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi katika maeneo kadhaa ya Mkoa wa Kagera. Kiongozi huyu wa…
Elimu kwa mtoto wa kike bado ni changamoto
ELIMU ni haki ya kila mtoto. Haibagui wala haigombi, inapotolewa kwa msichana ama mvulana. Uelewa ukiwekwa kwa watoto, hautagoma “kuishi” kichwani kwa msichana au mvulana. Utadumu na kuwa msaada mkubwa…
Lishe duni inachangia kuwafupisha Watanzania
WATANZANIA wanaendelea kuwa wafupi kwa kukosa lishe bora, kukumbwa na magonjwa ya utotoni na kuishi mazingira ya ovyo. Imebainika kuwa urefu wa kimo kwa Watanzania umepungua kwa kasi kutoka ongezeko…
DC wa Iringa Richard Kasesela,azindua Mradi wa Maji Lupalama
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela amezindua mradi wa maji katika kijiji cha lupalama kilichopo katika Tarafa ya kalenga Wilayani Iringa, Mradi huo umedhaminiwa na Shirika la E.P.I.C…
Tusirudie makosa tena katika uchimbaji wa madini ya Niobium
Siku za hivi karibuni tumesikia ugunduzi wa madini ya aina mbalimbali hapa kwetu Tanzania. Mpaka sasa tumesikia ugunduzi wa madini adimu duniani kama vile Graphite, Niobium na Helium (he). Ugunduzi…
Mambo ya kufanya na kutofanya unapokuwa katika vituo vya kutolea huduma za afya
Katika nchi zinazoendelea, kila siku madaktari hulazimika kutibu wagonjwa wengi, ambao mara nyingi hufika vituo vya kutolea huduma na kupanga foleni. Kazi ya udaktari ni ngumu na yenye kuchosha sana…
UTAFITI wa Twaweza: Watanzania 11% wanaamini nchi inaongozwa kidikteta
ASILIMIA 11 ya wananchi wa Tanzania, waamini Serikali ya Rais John Magufuli, inaongoza kwa mfumo wenye viashiria vya kidikteta. Vitendo kama vile kuzuia kurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja…