Ni wakati sahihi kwa wanaume kutumia vidonge vya uzazi wa mpango?
Kwa muda mrefu sasa wanawake wamekuwa wakiwajibika kutumia njia za uzazi wa mpango kuzuia mimba zisizo tarajiwa. Wengine wanatumia njia za muda mrefu kama vipandikizi, kukata mirija ya inayosafirisha mayai…
Historia mpya yaandikwa rasi ya Korea. Washirika wa Marekani, China wakaa meza 1 kumaliza uhasama
Ni jambo la kushangaza tena la kustaajabisha! Ni kule mashariki ya mbali, rasi ya Korea. Nchi zenye uhasama mkubwa kisiasa ziliamua kuweka tofauti zao pembeni na kuingia kwenye meza mazungumzo.…
Mikoa 10 Tanzania Bara vinara maambukizi ya Malaria
Aprili 25 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya Ugonjwa wa Malaria. Lengo hasa ni kutathmini hatua zilizopigwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa ambao unaua maelefu ya watu kila mwaka. Kauli…
Asasi za Kiraia zaibua madudu mengine ripoti ya CAG
Imeelezwa kuwa kukosekana kwa mfumo mzuri wa uwajibikaji na uwazi katika taasisi za serikali kumesababisha matumizi mabaya ya rasilimali za umma kama ilivyoibuliwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu…
Kamari za mtandaoni janga jipya kwa vijana Afrika
Ukuaji wa huduma za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao (mobile money) umetenegeneza fursa mpya kwa wafanyabiashara kutangaza na kuuza bidhaa na huduma zao. Moja ya fursa ambayo inavuma…
Manispaa ya Dodoma yapandishwa hadhi na kuwa jiji la 6 Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Mji wa Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018. Rais Dkt Magufuli ameyasema…
Utata, nadharia iliyojificha kwenye Hati, kero za Muungano wa Tanzania
Leo watanzania kutoka nchi mbili za Zanzibar na Tanzania Bara wanaungano kusherehekea miaka 54 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioasisiwa April 26, 1964 na viongozi wawili wa kitaifa; Mwalimu…
LHRC wafichua mambo 5 yaliyovunja haki za binadamu 2017
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kukithiri kwa mauaji, utekaji, uteswaji, ukatili, kuminywa kwa uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kujumuika ni matukio makubwa yaliyovunja zaidi haki…
Kwanini wanawake hupata msongo wa mawazo kwa kiwango kikubwa kuliko wanaume?
Kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya vyombo vya habari, wanawake wapo kwenye nafasi ya kupata msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Pia kiwango chao cha kupata matatizo…