Ni wakati sahihi kwa wanaume kutumia vidonge vya uzazi wa mpango?

Kwa muda mrefu sasa wanawake wamekuwa wakiwajibika kutumia njia za uzazi wa mpango kuzuia mimba zisizo tarajiwa. Wengine wanatumia njia za muda mrefu kama vipandikizi, kukata mirija ya inayosafirisha mayai…

Jamii Africa

Historia mpya yaandikwa rasi ya Korea. Washirika wa Marekani, China wakaa meza 1 kumaliza uhasama

Ni jambo la kushangaza tena la kustaajabisha! Ni kule mashariki ya mbali, rasi ya Korea. Nchi zenye uhasama mkubwa kisiasa ziliamua kuweka tofauti zao pembeni na kuingia kwenye meza mazungumzo.…

Jamii Africa

Mikoa 10 Tanzania Bara vinara maambukizi ya Malaria

Aprili 25 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya Ugonjwa wa Malaria. Lengo hasa ni kutathmini hatua zilizopigwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa ambao unaua maelefu ya watu kila mwaka. Kauli…

Jamii Africa

Asasi za Kiraia zaibua madudu mengine ripoti ya CAG

Imeelezwa kuwa kukosekana kwa mfumo mzuri wa uwajibikaji na uwazi katika taasisi za serikali kumesababisha matumizi mabaya ya rasilimali za umma kama ilivyoibuliwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu…

Jamii Africa

Kamari za mtandaoni janga jipya kwa vijana Afrika

Ukuaji wa  huduma za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao (mobile money) umetenegeneza fursa mpya kwa wafanyabiashara kutangaza na kuuza bidhaa na huduma zao. Moja ya fursa ambayo inavuma…

Jamii Africa

Manispaa ya Dodoma yapandishwa hadhi na kuwa jiji la 6 Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Mji wa Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018. Rais Dkt Magufuli ameyasema…

Jamii Africa

Utata, nadharia iliyojificha kwenye Hati, kero za Muungano wa Tanzania

Leo watanzania kutoka nchi mbili za Zanzibar na Tanzania Bara wanaungano kusherehekea miaka 54 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioasisiwa April 26, 1964 na viongozi wawili wa kitaifa; Mwalimu…

Jamii Africa

LHRC wafichua mambo 5 yaliyovunja haki za binadamu 2017

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema  kukithiri kwa mauaji, utekaji, uteswaji, ukatili, kuminywa kwa uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kujumuika ni matukio makubwa yaliyovunja zaidi  haki…

Jamii Africa

Kwanini wanawake hupata msongo wa mawazo kwa kiwango kikubwa kuliko wanaume?

Kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya vyombo vya habari, wanawake wapo kwenye nafasi ya kupata msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Pia kiwango chao cha kupata matatizo…

Jamii Africa