North Mara police harm, kill with license

It was Sunday of September the 9th of 2012 when Mariam Chacha Samuel Magita (50) of Magoto village, a food vendor at Mrwambo and her three children; Ester Chacha (10),…

Fred Okoth

Kill me quick phenomenon and the plight of young girls in Runzewe

For the few lucky ones who have amassed wealth from the mining and fishery industries, the resources were a real blessing. But going by plight faced by many in the…

Joas Kaijage

Wodi za watoto, wanawake na wanaume tatizo Butiama

UKOSEFU wa miundombinu ya kutosha zikiwemo wodi za watoto, wanawake na wanaume katika hospitali ya Butiama mkoani Mara ni kieelezo tosha kuwa lengo la milenia la kupunguza vifo vya wajawazito…

Gordon Kalulunga

Wananchi wamwitaji Wasira kuokoa wajawazito

BAADHI ya wananchi wa kijiji cha Kambubu kata ya Nyamang’uta wilaya ya Bunda mkoani Mara wamemuomba waziri wa nchi uratibu wa sera na Bunge Stephen Wasira kuokoa wajawazito katika kijiji…

Gordon Kalulunga

Wajawazito wanahudhuria kliniki lakini wanajifungulia nyumbani na kwa wakunga wa jadi

Wajawazito wengi nchini wanahudhuria Kliniki lakini wengi hawataki kujifungulia katika vituo vya afya imebainika. Katika hospitali ya manyamanyama wilayani Bunda mkoani Mwanza asilimia 96 ya wajawazito wanahudhulia kliniki lakini wakati…

Gordon Kalulunga

Ukosefu wa miundombinu bora na vifaa tiba kielelezo cha kutotekelezeka kwa malengo ya milenia kufikia 2015

Serikali ya Tanzania haipo tayari kutekeleza malengo ya milenia yanayotaka kufikia mwaka 2015 kupunguza vifo vya mama na mtoto kufikia asilimia 75 kati ya vizazi hai 100,000.

Gordon Kalulunga

Narration of the dying at North Mara ABG

Across the cavernous pits and the mountains of waste rock, the alarm wails eerily, warning that an explosion is imminent. Dozens of villagers gather silently at the edge of a…

Fred Okoth

Ajira za watumishi wa afya Bunda zazingatia ukabila

AFYA inatafsiliwa kuwa ni ukamilifu wa binadamu kimwili, kiakili na kijamii na kutokuwepo kwa maradhi na tafsiri hiyo ipo katika sera ya afya ya taifa ya mwaka 2007.

Gordon Kalulunga

Disorganized gemstone market ruin government/miners revenue

“We only benefit the middle men who mtake this precious stones at a throw away price simply because we have got no alternative since there is no centralized gemstone market,”…

Fred Okoth