Serikali inajali thamani ya fedha kuliko damu salama
Thamani ya vifo vya watu vinavyotokana na kukosa damu haithaminiki. Bali thamani ya fedha za posho kwa watumishi wa kitengo cha damu salama ndiyo serikali inaona ni hasara kubwa. Hali…
Bagamoyo: Matumizi ya kondom bado ni kitendawili
Wakati nchi yetu ikiwa katika kampeni ya kuhamasisha matumizi ya njia za uzazi wa mpango, bado baadhi ya wanawake wa vijiji vya Yombo na Kongo wilayani Bagamoyo, hawafahamu kama Kondom…
Pregnant women in Dakawa village go with delivery tools during birth giving
PREGNANT women in Dakawa village, Mvomero district Morogoro are asked to go with delivering tools at the health center during giving birth. Those delivering tools include pair of gloves, oxytocin…
Uchakavu wa majengo kero kwa wahudumu wa afya Rufiji
Wauguzi wa zahanati za Ndundunyikanza, Kipugira na Mtanza, zahanati zinazopatikana kata ya Kipugira wilaya ya Rufiji , wanalalamikia hali ya uchakavu wa nyumba zao, vyoo pamoja na majengo ya zahanati.
Dakawa Medical attendants fail to attend night roster
DAKAWA medical attendants in Mvomero district, Morogoro are accused of failure to attend night emergency patients. The pregnant women in the area have complained on the situation by saying that…
‘Mahekalu’ ya wachimbaji
MAISHA ya wachimbaji wadogo, katika sehemu nyingi nchini ni ya ajabu. Wengi wanaishi katika mazingira magumu, hupata chakula kwa shida na wakati mwingine baada ya jasho jingi kuwatoka na pia…
Dakawa Dispensary lacks HIV blood test kit
PREGNANT women in Dakawa village, Mvomero district in Morogoro fear to deliver without knowing their Immunodeficiency virus (HIV) status.
Wahudumu wa afya ya msingi wailalamikia Halmashauri ya Bunda
Wahudumu wa afya ya msingi vijijini, wamelalamikia viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Bunda, kwa kile walichoikiita kutothamini kazi yao.
Idara ya misitu Mpwapwa yalia na uharibifu wa misitu
IDARA ya misitu katika wilaya ya Mpwapwa, imepaza sauti kulilia uharibifu wa misitu unaofanywa kwenye mapori ya akiba na misitu ya serikali.