1. Upungufu mkubwa wa damu.
2. Upungufu wa maji mwilini.
3. Dege dege.
4. Homa kali (Maralia).
5. Kupumua kwa shida.
Hivyo basi ni muhimu sana kwa wazazi na walezi kuwapeleka watoto katika zahanati, vituo vya afya na hospitali muonapo dalili hizo zinazoweza kusababisha vifo kwa watoto.