Vigogo Halmashauri za Monduli, Karagwe, Biharamulo kikaangoni upotevu wa milioni 171.8 za miradi ya maji
Maji ni uhai. Ni uhai kwasababu yanabeba dhana nzima ya mwanadamu yeyote kuishi na kufanya shughuli zingine za maendeleo. Pia maji ni uhai kwasababu yanagusa sekta zote za uzalishaji, popote…