Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa Augustino Mrema akiwa na baadhi wa wabunge wa kamati hiyo wakikagua matrekta madogo yaliyopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro ambayo hadi sasa hayajawafikia wananchi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mabovu hali iliopelekea kuzuka kwa maswali mengi huku wananchi wakiendelea kulima kwa ugumu.
Hayo ndio matrekta ya milioni 200
2 Comments
Viongozi wengi watanzania hawana uzalendo na utamaduni wa nchi yao wanapinga ushoga kuliko wanavyopinga ufisadi,nauliza ujasili uliotumika kupinga ushoga ndio ungetumika kuupinga ufisadi Tanzania tungekuwa mbali sana tuuone ufisadi nao ni dhambi kwa mwenyezi Mungu ni hayo tu!!!
hayo matrekta yanayosemekana mabovu yaliingizwa bila kukaguliwa?na mwisho wake ni niniiiiiiiiiiii?
INAUMA