Katika mabonde yenye vyazno vya maji vya mto Ruvuma mbali na wananchi kupigwa marufuku shughuli za kibinadamu lakini bado wanalima kwa kuibia, hata hata kuchunga mifugo hali ambayo inaweza kusababisha kukauka kwa maji katika vyanzo hivyo ambavyo ni tegmeo la wakazi wapatao 90,000 wa manispaa ya Songea
Sio binadamu, hata mbuzi ni waharibifu
Leave a comment