Katavi: Wanafunzi wa madarasa mawili tofauti watumia chumba kimoja, ubao mmoja, wengine chini ya mti
WANAFUNZI wa madarasa mawili tofauti katika Shule ya Msingi Kawanzige katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wanalazimika kutumia chumba kimoja na ubao mmoja kwa wakati mmoja kufundishiwa huku…