Elizabet Haule (50) mkazi wa kijiji cha Mahilo kata ya Matogoro wilaya ya Songea Manispaa akielezea jinsi alivyopata mimba kutokana na ulevi. Mama huyo alisema kuwa miaka 30 iliopita alikwenda kilabuani na kunywa pombe kupita kiasi hali iliomsababisha kujiingiza katika mapenzi na mtu ambaye hamkumbuki hadi leo na kupata mimba. Amakweli, ulevi noma! Pamoja na kujutia kwa wakati huo lakini kwa sasa anasema mtoto huyo wakiume ndio mkombozi wake kwani anamsaidia katika kila shida yake.
Ulevi nomaaa
2 Comments
mbona tena uko bar mama ?
nipo kazini hapo kaka