Miaka 50 ya Uhuru: Mtanzania bado anaishi hivi!

Daniel Mbega

Jamani eee, Tanzania inasherehekea miaka 50 ya Uhuru (wa Tanganyika) lakini haya ndiyo maisha halisi ya Mtanzania. Wengi wetu tunatokea huko ingawa tukiwa mjini huwa hatupendi kuyazungumzia kama ‘yanatuhusu’ wala kufanya juhudi za kuleta mabadiliko huko.

Tukumbuke kwamba asilimia 83 ya Watanzania wako vijijini, sasa piga hesabu jinsi umaskini ulivyo huko.

Tazama picha hizi na unaweza kutoa maoni yako tafadhali.

Mojawapo ya nyumba nyingi za vijijini. Hapa ni katika kijiji cha Ilindi, wilaya ya Bahi mkoani Dodoma.
Nyumba bora hii
Na hivi ndivyo vyoo vya 'kisasa'
Pombe ni kiburudisho, lakini kwa wananchi wengi kama huyu wa kijiji cha Nghambi mkoani Dodoma ni sehemu ya uchumi kwa familia. Hivi ndivyo komoni inavyopikwa wandugu.

 

 

 

 

 

 

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *