Ulevi nomaaa

Latifa Ganzel

Elizabet Haule (50) mkazi wa kijiji cha Mahilo kata ya Matogoro wilaya ya Songea Manispaa  akielezea jinsi alivyopata mimba kutokana na ulevi. Mama huyo alisema kuwa miaka 30 iliopita alikwenda kilabuani na kunywa pombe kupita kiasi hali iliomsababisha kujiingiza katika mapenzi na mtu ambaye hamkumbuki hadi leo na kupata mimba. Amakweli, ulevi noma! Pamoja na kujutia kwa wakati huo lakini kwa sasa anasema mtoto huyo wakiume  ndio mkombozi wake kwani anamsaidia katika kila shida yake.

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *