Timu ya TMF ndani ya milima ya Matogoro

Latifa Ganzel

Timu ya TMF , kutoka kushoto Mzee Ndimara , Daniel Mbega, Albano Midelo,Visencia Fuko, Latifa Ganzel pamoja na Beda Msimbe wakiwa katika chanzo cha maji cha Lipasi katika milima ya Matogoro mkoani Songea eneo ambalo waandishi wa habari ambao wako katika mpango wa Fellowship walifanyia uchunguzi kutokana na uchafuzi wa maji unaofanywa na wakulima katika maeneo hayo pamoja na ukataji miti hovyo unaosababisha vuanzo vya maji kukauka.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *